0

 ULINZI MKUTANONI
 MJUMBE WA HALIMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA BUTIAMA CHRISTOPHER MARWA SIAGI(MUSOMA UTALII)
 TUNASIKILIZA


 KATIBU WA SIASA NA UENEZI WA CCM MKOA WA MARA MAXMILIAN NGESI MWENYE KOFIA AKIWA MEZA KUU
 MATHAYO(MNEC)
 FURAHA YA WANA CCM MJINI MUSOMA


 MJUMBE WA HALIMASHAURI KUU YA CCM(NEC)VEDASTUS MATHAYO AKIZUNGUMZA HUKU MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MARA CHIRSTOPHER SANYA AKIWA PEMBENI
 SEHEMU YA WATU WALIOHUDHURIA MKUTANO HUO

WANA CCM WAKIWA KATIKA UZINDUZI WA SHEREHE ZA MIAKA 37 YA CHAMA HICHO MJINI MUSOMA AMBAPO KATIKA MKUTANO HUO,MWENYEKITI WA MKOA WA CCM CHRISTOPHER SANYA ALIWATAKA WA CCM KUWA NA UMOJA NA KUACHA TABIA YA KUPIGA KURA ZA CHUKI.

MAAZIMISHO YA SHEREHE HIZO YATAFANYIKA FEBRUARI 2 AMBAPO KWA MUDA WA SIKU 6 SHUGHULI MBALIMBALI ZA KIJAMII ZITAFANYWA NA WANACHAMA WAKE KAMA ILIVYOTANGAZWA NA MWENYEKITI WA CHAMA HICHO MKOA.

Post a Comment