0
 MJUMBE WA NNEC CCM MUSOMA MJINI VEDASTUS MATHAYO AKIPUNGIA WANA CCM MKONO
 WANACHAMA WA CCM WAKIFATLIA MKUTANO MIAKA 37 YA CCM
 KATBU WA CCM MUSOMA MJINI JACOB MKOMOLA

 MATAYO AKIHUTUBIA MKUTANO
 MNEC WA BUTIAMA MARWA SIAGI AKITETA NA MATHAYO
 TUNASIKILIZA

MJUMBE wa Halimashauri Kuu ya CCM Musoma mjini Vedastus Mathayo amesema kupitia nafasi yake ya NEC atahakikisha anaimalisha chama hicho sambamba na kuhakikisha ofisi za chama katika kata 13 zinakuwa za kisasa na kufanya kazi za chama kwa muda wote.

Mathayo alitoa kauli hiyo katika viwanja vya shule ya msingi Kigera katika maazimisho ya miaka 37 ya CCM iliyohudhuliwa na wanachama,wapenzi na wakereketwa wa chama hicho.

Amesema ili kuhakikisha chama hicho kinatekeleza majukumu yake ni vyema ofisi ziwe zinafanya kazi kwa muda wote ikiwa ni pamoja na kuwawezesha wanachama kufika na kuweza kutoa maoni yao ya kujenga chama.

Matayo amesema kazi ya kujenga ofisi hizo za kisasa tayari imekweshaanza katika baadhi ya kata na ataitekeleza kama alivyowaahidi wanachama wa chama hicho

Post a Comment