0
 WAUMIN I WA DINI YA KIISLAM NA WAOMBOLEZAJI WENGINE WAKIWA NYUMBANI KWA SHEKH MAGEE

 ATHUMAN HUSSEN SOKON KIONGOZI WA JAMAAT ASWAR SUNNA AKITOA SALAM
 JENEZA LILILOHIFADHI MWILI WA SHEKH MAGEE

 KIONGOZI WA TAASISI YA AL JAZIRA AKITOA SALAM
 WAOMBOLEZAJI MEZA KUU KUTOKA KUSHOTO VEDASTUS MATHAYO,SHEKH WA MKOA WA MWANZA SHEKH FEREJ,MWAKILISHI WA MUFTI SHEKH ISMAIL,WAZIRI WASIRA
 VIONGOZI MEZA KUU
 KIONGOZI MADEHEBU YA KIKRISTO AKITOA SALAMU
 MKUU WA MKOA WA MARA AKITOA SALAMU ZA MKOA
 WAZIRI WASIRA AKITOA SALAMU ZA SERIKALI
 MWENYEKITI WA KAMATI YA MAZISHI KERABA AKITOA SHUKRANI

 WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU WAKISWALIA MAITI
 MWILI UKIPAKIWA KATIKA GARI MAALUMU LA JESHI KWENDA KUZIKWA
 MWILI UKIWASILI MAKABURI YA MUSOMA BUS
 SEHEMU YA UMATI WA WATU WAKIWA MAKABURINI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Uratibu na Mahusiano Stephine Wasira Amewataka Waislam na wale wasiokuwa Waislam kuwa wamoja katika kila jambo na kuacha kutofautiana kwa kuwa kila mtu anapofikwa na mauti njia ni moja ya kwenda kwa Mungu.

Post a Comment