MKURUGENZI MKUU WA PSPF ADAM MAINGU AKIMKABIDHI KALENDA YA MWAKA 2014 MKUU WA MKOA JOHN TUPA
MKURUGENZI WA PSPF AKIZUNGUMZZA NA WAKURUGENZI WA WA HALIMASHAURI,MJI NA MANISPAA ZILIZOPO MKOANI MARA
MAAFISA WA PSPF WAKISIKILIZA MAELEZO YA MKURUGENZI MKUU AKIONGEA NA WAKURUGENZI
BAADAE ILIKUWA NI CHAKULA CHA JIONI NA WADAU WA PSPF UKUMBI WA MAMBA PENUSLA HOTEL
MJASILIAMALI AMANI RICHARD AKICHANGIA MADA JUU YA MASUALA YA ELIMU KWA WAJASILIAMALI ILI WAWEZE KUJIUNGA NA MFUKO
MKUU WA MKOA WA MARA JOHN TUPA AKIZUNGUMZA KATIKA DHIFA YA CHAKULA CHA JIONI ILIYOANDALIWA NA PSPF
MAMBO YA MSOSI SASA
KULA VITU AMANI
MARATO WA ITV HAKUWA MBALI
MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma PSPF umetangaza mkakati wake wa kuwanufaisha Watanzania ambao si watumishi wa umma kwa kujiunga na mfuko wa uchangiaji kwa hiari wa PSS.
Katika mpango huo makundi ya Wajasiliamali,Wavuvi,Wakulima na makundi mengine katika jamii ambayo yamejiajiri sekta isiyo rasmi yakipewa kipaumbele katika mfuko huo.
Mkurugenzi
mkuu wa mfuko wa PSPF Adam Maingu,alitoa kauli hiyo mjini Musoma wakati
akizungumza na viongozi na wawakilishi wa wanachama wa mfuko huo katika wilaya ya
Musoma na Butiama mkoani Mara.
Post a Comment
0 comments