0
 MWILI WA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA WA MARA JOHN GABRIEL TUPA UKIINGIZWA CHUMBA CHA KUHIFADHI MAITI HOSPITALI YA MKOA WA MARA
 MAREHEMU MKUU WA MKOA WA MARA JOHN GABRIEL TUPA AKISOMA HOTUBA YAKE YA MWISHO JANA KBLA YA MAUTI YAKE LEO
 PICHA YA PAMOJA YA MKUU WA MKOA WA MKOA NA WAFANYABIASHARA NA WAJASILIAMALI MKOA WA MARA ILIYOPIGWA JANA NA KAMERA YA BLOG HII
 NI HUZUNI KUBWA


 SIKU MOJA KABLA YA KIFO CHA TUPA KUSHOTO
 ASKOFU OMINDO WA KANISA LA ANGLIKANA AKIOMBA KABLA YA MWILI WA MKUU WA MKOA KUHIFADHIWA CHUMBA CHA KUHIFADHI MAITI

 WAUGUZI WA HOSPITALI YA MKOA WA MARA WAKIWA NA SIMANZI
 KATIBU TAWALA WA MKOA WA MARA BENEDICT OLE KUYAN AKITOA TAARIFA YA MSIBA HUO KWA WAANDISHI WA HABARI

MSIBA mkubwa umeufika mkoa wa Mara baada ya kifo cha Mkuu wa mkoa huo John Gabriel Tupa aliyekuwa kwenye shughuli za kikazi wilayani Tarime kufariki muda mfupi akiwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Wilaya ya Tarime kutokana na kupatwa na shinikizo la damu akiwa anapatiwa taarifa ya Wilaya.
 
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Tawala wa mkoa wa Mara Benedict Ole Kuyan juu ya kifo hicho, imesema mkuu wa mkoa alifika ofisini kwake mapema saa 1 asubuhi na kupeana taratibu za kazi kabla ya kuondoka kwenda wilayani Tarime alikofikwa na umauti akiwa kwenye majukumu ya kazi.

Post a Comment