0
 UKAGUZI WA MIRADI YA MAJI WILAYANI SERENGETI
 MPIGA PICHA WA TV KAZINI! AKICHEKI MASHINE YA KUSUKUMA MAJI TUNAWAKABIDHI

 MAJI KWA KWENDA MBELE KIJIJINI
 MHANDISI WA MAJI MAJI MKOA WA MARA ATHUMANI MATHAYO AKITOA UFAFANUZI
 KAIMU MKURUGENZI WA WILAYA YA SERENGETI AKIELEZA TAARIFA YA MRADI WA MAJI
KATIBU TAWALA WA MKOA WA MARA BENEDICT OLE KUYAN AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA PORT NYIGOTI WILAYANI SERENGETI
KATIBU TAWALA MKOA WA MARA BENEDICT OLE KUYAN AKIKABIDHI CHETI CHA MRADI WA MAJI YA KUSUKUMA KWA BOMBA KWA MWENYEKITI WA KIJIJI CHA PORT NYIGOTI WILANI SERENGETI UKIWA NI UZINDUZI WA WIKI YA MAJI DUNIANI

Post a Comment