M-NEC MATHAYO AKIZUNGUMZA NJE YA OFISI ZA KATA YA NYAMATARE ALIYOSAIDIA KWA ASILIMIA 70 KUJENGA
SHINA LA WAKELEKETWA LILIFUNGULIWA NA VIJANA KUSAIDIWA LAKI TANO KWAAJILI YA MRADI WA UFUGAJI KUKU
RISALA INASOMWA
UFUNGUZI WA OFISI YA KATA
KUITEMBELEA NDANI
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA MARA IKIFURAHIA JAMBO NA KATIBU WA CCM WILAYA YA MUSOMA MJINI
OFISI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KATA YA NYAMATARE
WANATETA MWENYEKITI WA MKOA NA MNEC WA MUSOMA
MASUMBUKA PIA ALITUPIA NENO KWENYE MKUTANO WA HADHARA
MWENEZI WA CCM MUSOMA MJINI RAMADHANI CHACHA"MUSOMA BUS"
NI KAMA WANASEMA"MKUTANO UKO VIZURI NN"
VEDASTUS MATHAYO
CHRISTOPHER SANYA
TUNASIKILIZA
VIJANA WAKIPOKEA KADI ZA CCM BAADA YA KUJIUNGA
SASA WANAKULA KIAPO
|
CHAMA cha mapinduzi CCM Musoma mjini kimesema kazi iliyonayo
kwa sasa ni kuzidi kujiimalisha kwa kuwakaribu na wanachama wake na kuhakikisha
wanafanya mikakati ya nguvu ili kufanya vizuri kwenye uchaguzi wa Serikali za
mitaa na uchaguzi mkuu mwaka 2015.
Kauli hiyo ilitolewa na viongozi wa chama hicho katika
uwanja wa shule ya msingi Nyamatare ikiwa ni muda mfupi baada ya kufungua ofisi
ya kisasa ya chama hicho kwenye kata hiyo.
Mjumbe wa Halimashauri Kuu ya CCM (NEC) Vedastus Mathayo
amesema kama alivyoahidi aliposhinda nafasi hiyo ni kuhakikisha kila kata
katika mji wa Musoma unakuwa na ofisi ya kisasa itakayowafanya viongozi na
wanachama kufanya kazi za chama katika mazingira mazuri………subili habari zaidi!.
|
Post a Comment
0 comments