0

MRATIBU WA ASASI YA AFRICARE STEPHINE MGETA AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUKABIDHI SEHEMU YA BAISKELI 300 KWA WATOA HUDUMA WA WAGONJWA WA NYUMBANI KATIKA ZAHANATI YA MURANGI WILAYA YA MUSOMA VIJIJINI
SEHEMU YA BAISKELI 300 ZILIZOTOLEWA MKOA WA MARA NA AFRICARE KUSAIDIA WATOA HUDUMA KWA WAGONJWA NYUMBANI KUWAFIKIA WAGONJWA

MGANGA WA HALIMASHAURI YA MUSOMA VIJIJINI GENCHWELE MAKENGE AKIZUNGUMZA KATIKA HAFLA YA KUKABIDHI BAISKELI HIZO KATIKA ZAHANATI YA MURANGI

MTOA HUDUMA KWA WAGONJWA MAJUMBANI PENDO TONGORA AKIPOKEA BAISKELI KWA NIABA YA WATOA HUDUMA WENGINE
MRATIBU WA AFRICARE STEPHINE MGETA AKIZUNGUMZA JAMBO
MSISITIZO
BAADHI YA WATOA HUDUMA
MWANDISHI WA HABARI BELDINA NYAKEKE KULIA ALIKUWA MMOJA WA WAFATILIAJI WA TUKIO HILO AKIWA NA BAADHI YA WATOA HUDUMA

Post a Comment