0
Kipindi maarufu kinachorushwa na Kituo cha Redio cha Clouds Fm, (XXL), jana kiliingia dosali baada ya watangazaji wake Adam Mchomvu na Dj Fetty kuamua kuzichapa kavu kavu wakati wakiwa katika kipindi.

Katika hali isiyotegemewa na wengi watangazaji hao watatu maarufu kama, Dj Fetty, Adam Mchomvu na B12, waliamua kuweka Mic zao chini na kuanza kuzichapa bila kujali kuwa walikuwa wakisikilizwa na wasikilizaji lukuki kote nchini.

Tukio hilo lilitokea baada ya watangazaji hao kutokea kutoelewana  kuhusu mauzo ya Albam ya Fiesta. Na kama hukupata Fursa ya Kusikiliza >> 

Walipotafutwa kwa njia ya simu, wahusika wa tukio hilo, Dj Fetty na B12 hawakutaka kabisa kuzungumzia suala hilo ili kujua chanzo cha kuanza 'KUTYSONIANA' ndani ya studio. 
PICHA YA STUDIO ZA CLOUDS BAADA YA TUKIO HILO LA KUZICHAPA CHANZO MAFOTO BLOG

Post a Comment