0



Add caption
WACHEZAJI WA TIMU YA POLISI VETERANI WAKINYOOSHA MWILI
MGENDI WA TRA PAMOJA NA JACK WA TMU YA WAFANYABIASHARA WAKIJIANDAA NA MCHEZO

MFUNGAJI WA MABAO YA TIMU YA WAFANYABIASHARA AUGUSTINE MGENDI AKINYOOSHA VIUNGO
KIKOSI CHA TIMU YA WAFANYABIASHARA MJINI MUSOMA KILICHOWAFUNGA POLISI MARA VETERANI MABAO 2-0
KOCHA MCHEZAJI WA TIMU YA WAFANYABIASHARA WA MJINI MUSOMA AMANI RICHARD AKITOA MAELEKEZO WAKATI WA MAPUMZIKO
TIMU ya soka ya  Wafayabiashara wa mjini Musoma imewafunga Polisi Mara Veterani mabao 2-0 ikiwa ni mchezo wa maandalizi ya mchezo wa kirafiki baina ya timu hiyo ya wafanyabiashara na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwanzoni mwa mwezzi ujao.

Mabao ya wafanyabiashara katika mchezo huo uliofanika kwenye uwanja wa kumbukumbu ya karume mjini Musoma yalifungwa na mshambuliaji wake hatari Augustine Mgendi.

Meneja wa timu ya wafanyabiashara Amani Richard aliyezungumza na Bloo hii mara baada ya mchezo huo alisema mchezo huo ni moja ya michezo ya kujipima nguvu wanayotarajiwa kuicheza kabla ya kuvaana na wabunge.

Post a Comment