0


 SEHEMU YA MADUKA AMBAYO YAMEFUNGWA MJINI MUSOMA NA MENGINE KUWEKEWA "SIRI"YA TRA



 MBUNGE WA JIMBO LA MUSOMA MJINI VICENTI NYERERE AKIZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA BAADA YA KUMUITA WAZUNGUMZE NAE
 AFISABIASHARA WA MANISPAA YA MUSOMA GOD MACHUMU ALIAMBATANA NA NYERERE
 MSISITIZO

 NYERERE AKISAINI KITABU CHA WAGENI KABLA YA KUINGIA OFISI YA MENEJA WA TRA MKOA WA MARA KUZUNGUMZIA SUALA LA KUFUNGWA KWA MADUKA



WAFANYABIASHARA mjini Musoma jana waliyafunga maduka yao kufuatia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuweka (SIRI) kwenye baadhi ya maduka wakati wakiendesha zoezi la kuangalia maduka yanayotumia mashine za EFD.

Wakizungumza na Mbunge wa Jimbo la Musoma mjini Vincent Nyerere katika maeneo ya gurden ya stend ya zamani,wafanyabiasha hao wamesema TRA imeyafunga baadhi ya maduka ya wenzao wakati wakiwa kwenye mchakato wa kushughulikia mashine hizo na wao kuamua kufunga.

...............................................................

Post a Comment