0
 MKUU WA KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI ROBERT HUSSEN AMBAYE NI MMOJA WA VIONGOZI WA TIMU YA POLISI MARA AKIANGALIA MOJA YA MIPIRA 6 YA KISASA PAMOJA NA SETI MOJA YA JEZI ILIYOTOLEWA NA KADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI POUL KIRIGINI KWAAJILI YA LIGI DARAJA LA KWANZA
 NI KAMA ANASEMA ZIKO POA!

 AFANDEISSA NA KIMARO WALIKUWA MASHUHUDA

 HUKU UWANJANI MAZOEZI KAMA KAWAIDA
 KATIBU WA CCM AKIMSHUKURU POUL KIRIGINI KWA KUJITOA KUSAIDIA MASUALA MBALIMBALI NDANI YA CHAMA NA NJE YA CHAMA
 POUL KIRIGINI KADA WA CCM KABLA YA KUFUNGUA BARAZA LA UVCCM MUSOMA MJINI

 "NAOMBA TUSHIRIKIANE KWA PAMOJA"

Post a Comment