KAMANDA WA POLISI MKOA WA MARA PHILIP KALANGI KUSHOTO AKISHIRIKIANA NA KAMANDA MUAGWA WA JESHI HILO MKOA WA MARA FERDINAND MTUI KUKATA KEKI KATIKA SHEREHE HIYO BWALO LA MAAFISA WA POLISI MUSOMA
MTUI BAADA YA KUKABIDHIWA UPINDE IKIWA NI ISHARA YA USHINDI
ASKARI MSATAFU PUNJE MWENYE SUTI NYEUPE NAYE ALIAAGWA RASMI NA KUPOKEA ZAWADI YA USHINDI
DOCTA NICO NAYE ALIAGWA NA KUPATA ZAWADI
AFANDE MTUI AKIKABIDHIWA ZAWADI YA MBUZI WAWILI KUTOKA KWA OCD WA BUTIAMA |
DC MABULA AKIJIANDAA KUTOA ZAWADI
JAVILA NA MZEE WA MASAUTI KAMA KAWAIDA KWENYE SHAMPEN
NI FURAHA KAMANDA MTUI NA KATIBU TAWALA WA MKOA WA MARA BENEDICT OLE KUYAN
Post a Comment
0 comments