WAZIRI WA NISHATI NA MADINI,PROFESA SOSPETER MUHONGO AMEMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU 6 MKOANI MARA NA KUTOA MAAGIZO YA KUHAKIKISHA KUFIKIA MWEZI JUNI MWAKANI VIJIJI 197 VYA MKOA WA MARA VINAPATA NISHATI YA UMEME
MUHONGO NA BAADHI YA VIONGOZI BAADA YA HITIMISHO LA ZIARA YA SIKU 6 MKOANI MARA
BAADA YA HITIMISHO LA ZIARA KUSALIMIANA MUHIMU
MBUNGE KEBWE AKITETA NA WAZIRI MUHONGO
HAPA ALIKUWA ANAFIKA KIJIJI CH AKITARAMAKA WILAYANI BUNDA ILIKUWA SIKU YA 3 YA ZIARA YAKE
MARAFIKI KUTOKA UJERUMANI WALIAMBATANA NAYE ZIARANI KOTE MKOANI MARA VIJIJINI
MAELEKEZO YANATOLEWA KWA WATENDAJI WA TANESCO
MSISITIZO
Post a Comment
0 comments