0
 
Jumuiya ya Wanawake wa CCM (CWT)Wilaya ya Musoma Mjini,imetoa misaada mbalimbali kwa wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mara katika wiki ya maazimisho ya miaka 38 ya Chama cha Mapinduzi inayofikia kilele chake februari 5.
 Wakipata maelezo kutoka wodi ya watoto

 wazazi wakipokea misaada ya sabuni na mafuta kutoka kwa Mwenyekiti wa UWT Amina Masissa





Post a Comment