0
 KADA wa Chama cha Mapinduzi(CCM) na mtoto wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,Mkongoro Nyerere,amekamilisa zoezi la kusaka wadhamini mkoani shinyanga na kudai iwapo chama chake kitamteua na baadae kushinda kiti cha urais kwenye uchaguzi wa mwezi oktoba mwaka huu,atahakikisha anapambana na mafisadi ambao wengine anawajua kwa majina na sura.
 hapa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Shinyanga mjini,Kanali mstafu,Tajiri Maulid akitoa neno kabla ya kumkaribisha Makongoro kuzungumza na wanachama waliojitopkeza kumdhamini


 Makongoro akisisitiza jambo kwa wanachama waliojitokeza kumdhamini
 wanachama wakimsikiliza kwa makini
 msisitizo
 Makongoro akikabidhiwa fomu na Katibu wa CCM wilaya ya Shinyanga mjini

 hapa akionyesha mkoba wenye fomu tayari kwenda kuwasilisha makao makuu ya chama mkoani Dodoma baada ya kukamilisha zoezi la kudhaminiwa
 baadae ikawa ni picha ya pamoja ya wanachama 30 ambao yeye alitaka wamdhamini kwenye fomu yake
 Baadae alielekea kuhani msiba wa aliyekuwa Mufti wa Tanzania,Mufti Shabani Simba nyumbani kwake majengo mkoani Shinyanga

 Hapa anamsalimia mjane wa Mufti nyumbani kwake
 Hapa akiteta jambo na familia ya Marehemu Mufti Simba


Post a Comment