WAJUMBE WAKIFATILIA MKUTANO MKUU
MWENYEKITI WA KIGOMA PRESS CLUB NA MSIMAMIZI UCHAGUZI,DEO NSOKOLO AKIZUNGUMZA JAMBO KABLA YA UCHAGUZI
INATOLEWA TAARIFA YA CHAMA KABLA YA UCHAGUZI
KURA ZIKIOMBWA KWA WAJUMBE
VERONICA MODEST AKIOMBA KURA NAFASI YA MWEKA HAZINA AMBAYE ALISHINDA NAFASI HIYO
PENDO MWAKYEMBE AMBAYE ALISHINDA NAFASI YA KATIBU AKITAFAKARI KABLA YA ZOEZI LA UPIGAJI KURA
UONGOZI KAMILI WA MARA PRESS CLUB
MWENYEKITI WA MARA PESS CLUB,MUGINI JACOB AKITOA SHUKRANI BAADA YA KUCHAGULIWA
Post a Comment
0 comments