0
KADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI,PAUL KIRIGINI,AMEJITOSA KUWANIA UBUNGE WA JIMBO LA MUSOMA MJINI NA KUDAI HALI YA UMASINI NA KUSHINDWA KUTHAMINIWA KWA WAKAZI WA JIMBO HILO KUMECHANGIA KUMSUKUMA KUWANIA NAFASI HIYO NA KUDAI IWAPO ATAAMINIWA NA KUPITISHWA NA CHAMA HICHO ATASHIRIKIANA NA WADAU WA MAENDELEO NJE NA NDANI YA NCHI ILI MJI WA MUSOMA UPATE MAENDELEO

 PAUL KIRIGINI AKIPOKEA STAKABADHI YA MALIPO YA FOMU
 PAUL AKIPEWA MAELEKEZO NA KATIBU WA CCM MUSOMA MJINI,JACOB NKOMOLA NAMNA YA KUJAZA
 MAKABIDHIANO YA FOMU
 WANACHAMA WA CCM WALIOMSINDIKIZA PAUL KIRIGINI KUCHUKUA FOMU
  KIRIGINI AKIZUNGUMZA NA WANA CCM MARA BAADA YA KUCHUKUA FOMUPost a Comment