MEYA WA HALIMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA,ALEX KISURURA,AMELIVUNJA RASMI BARAZA LA MADIWANI LA HALIMASHAURI HIYO NA KUTOA SHUKRANI KWA WATUMISHI NA WAKUU WA IDARA AMBAO WAALITOA USHIRIKIANO KATIKA UTENDAJI WA KAZI KATIKA KIPINDI CHA MWAKA 2010-2015,LAKINI PIA LICHA YA KUTOA SHUKRANI KWA WATUMISHI HAO,MEYA HUYO PIA AMEWASHUKURU WANANCHI WA MANISPAA YA MUSOMA AMBAO AMBAO WAMEKUWA WAKITOA USHIRIKIANO KWENYE SHUGHULI MBALIMBALI
MEYA ALEX KISURURA AKIFUNGA RASMI BARAZA LA MADIWANI WA MANISPAA YA MUSOMA HII LEO KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO WA HALIMASHAURI HIYO |
PICHA YA PAMOJA MADIWANI PAMOJA NA MKUU WA MKOA WA MARA,KANALI MSTAFU ASERI MSANGI(WA TATU KUTOKA KUSHOTO)
MEYA KISURURA
WATUMISHI NA WANANCHI WAKIFATILIA KIKAO CHA MWISHO CHA BARAZA LA MADIWANI WA MANISPAA YA MUSOMA
MKUU WA POLISI WILAYA YA MUSOMA,JUMA MAJATA AKITETA JAMBO NA MMOJA WA WATUMISHI WA WILAYA YA MUSOMA
MEYA
Post a Comment
0 comments