KADA WA
CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) NA M-NEC WA MUSOMA MJINI,VEDASTUS MATHAYO,AMETANGAZA
NIA YA KUWANIA UBUNGE WA JIMBO LA MUSOAM MJINI,NA KUDAI HAKUNA KIPYA
KILICHOFANYIKA KWA WANANCHI WA JIMBO HILO NA KUWA MOJA YA JAMBO LILILO MSUKUMA
KUWANIA NAFASI HIYO KWA MARA NYINGINE BAADA YA KUSHIKA NAFASI HIYO KATIKA KIPINDI
CHA 2005-2010.
MATHAYO
AMESEMA KILA MWANANCHI WA JIMBO LA MUSOMA MJINI AFANYE TAHIMINI KWA KILE
AMBACHO KIMEFANYIKA CHA KIMAENDELEO NA KUWAPA UNAFUU WA MAISHA WANANCHI KISHA
ATOE MAAMUZI STAHIKI JUU YA UONGOZI UNAOMALIZA MUDA WAKE.
KATIKA MKUTANO
HUO WA KUTANGAZA NIA,AMESEMA UMASIKINI NI MOJA YA JAMBO LIMEMSUKUMA KUWANIA
TENA NAFASI HIYO BAADA YA CHADEMA KUONGOZA KWA MIAKA 5 HUKU AJIRA ZA VIJANA
ZILIZOAHIDIWA KUSHINDWA KUTEKELEZWA NA KUDAI KWA KUANZIA DHAMIRA YAKE
KUIFANIKISHA AMETENGA MILIONI 150 KUWEZA KUSAIDIA VIKUNDI VYA VIJANA NA
WANAWAKE………….
MATHAYO AKIWA NA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA MUSOMA MJINI DAUD MISANGO
GHATI AKISAMBAZA VIPEPERUSHI
BURUDANI PIA ILIKUWEPO
KINA-MAMA WAKIFATILIA MKUTANO
IKAWA ZAMU YA KWENDA KUZUNGUMZA NA WANANCHI
NENO LINAENDELEA,HUKU NYUMA MWANDISHI GEORGE MARATO AKITAFUTA PICHA
WANANCHI WAKIMSIKILIZA MTANGAZA NIA
WANANCHI WAKIWA MAKINI WAKIFATILIA MKUTANO
VIJANA WA SHULE YA SEKONDARI IRINGO WAKIAPA BAADA YA KUKABIDHIWA KADI ZA CCM BAADA YA KUJIUNGA NA CHAMA HICHO
MMOJA WA WANAFUNZI AKITOA NENO
Post a Comment
0 comments