0
 MWANACHAMA WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) ELIUD ESSEKO TONGOLA,MAARUFU KWA JINA LA MKOREA,AMECHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE WA JIMBO LA MUSOMA MJINI KUPITIA CHAMA HICHO AMBAPO ATAKABILIANA NA MBUNGE WA SASA ANAYETOKANA NA CHAMA HICHO VICENT NYERERE.

AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUCHUKUA FOMU KATIKA OFISI ZA CHAMA HICHO ZILIZOPO MITAA JAMATIKHAN HII LEO MJINI HAPA,ELIUD ALISEMA HALI ZA WANANCHI WA MUSOMA BADO HAZIJABADILIKA HIVYO AMEONA ANAYO NAFASI NA UWEZO WA KUWATUMIKIA WANA MUSOMA NA KULETA MADILIKO YA KIUCHUMI.

MALENGO ZAIDI KUHUSINA NA MENGI YALIYOMSUKUMA MGOMBEA HUYU NAMAONO YAKE UTAYAPATA NDANI YA BLOG HII BAADA YA MAHOJIANO MAALUM KUKAMILIKA…………………


MKOREA AKIPATA MAELEZO KUTOKA KWA KATIBU WA CHADEMA MUSOMA MJINI HAMIS TUMBO

 ELIU ESSEKO TONGOLA(MKOREA)

 BAADAE ALIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

 MSISITIZO

Post a Comment