0

AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MJINI MUSOMA HII LEO,NDENGO ALISEMA KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO KINAELEKEA VIKAO VYA MAAMUZI VYA KUPITISHA JINA LA MGOMBEA WA URAIS KATI YA WAGOMBEA ZAIDI YA 40 WALIOJITOKEZA NDANI YA CHAMA HICHO,ALISEMA YEYE KWA UPANDE WAKE NA FAMILIA YEKE,ATAJIKITA KATIKA KUFANYA MAOMBI KIKUBWA IKIWA NI KUOMBEA AMANI YA TAIFA……………………………………….

FAMILIA YA BONIPHACE NDENGO AMBAYO ITASHIRIKI PAMOJA KATIKA KUOMBEA AMANI TAIFA LA TANZANIA KATIKA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2015
Post a Comment