0
MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA BUNDA VIJIJINI,DAUD SELEMAN,AKIPEWA USIA NA WAZEE WA KIMILA PAMOJA NA KUMPA BARAKA ILI AWEZE KUSHINDA UBUNGE WA JIMBO HILO KABLA YA KUZINDUA KAMPENI ZAKE KATIKA KIJIJI CHA NYAMSWA AMBAPO KATIKA MKUTANO HUO,SELEMAN ALIDAI KERO MBALIMBALI ZILIZOPO KWENYE JIMBO HILO ZINAHITAJI KUTATULIWA NA VIONGOZI WENYE MOYO WA KUTAKA KUWALETEA WANANCHI MABADILIKO


BULAYA AKIMUOMBEA KURA SELEMAN
WANANCHI WAKIFATILIA MKUANO HADI JUU YA MITI


MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA BUNDA VIJIJINI AKIOMBA KURA

Post a Comment