0
KADA wa Chama cha Mapinduzi,makongoro Nyerere,amezindua kampeni za Diwani wa Kata ya Iringo katika Jimbo la Musoma mjini,nakuwaomba wapiga kura kuwachagua madiwani,wabunge na Rais anayetokana na chama hicho ili waweze kufanya kazi kwa pamoja katika kuhahakisha wananchi wanapata maendeleo na kuacha kusikiliza propadanda zinazoenezwa na wapinzani majukwaani kuwa wananchi wafanye mabadiliko bila kufafanua ni mabadiliko gani wanayoyazungumzia.


 WANANCHI WAKIFATILIA MKUTANO
 MAKONGORO AKIINGIA KWENYE VIWANJA VYA MKUTANO
 WAFUASI WAKIFATILIA MKUTANO

 MAKONGORO AKIHUTUBIA WANANCHI

Post a Comment