Aliyekuwa katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema)
Dk,Wilbroad Slaa,amesema watanzania waache ushabiki wa kisiasa na kumtaja
mgombea urais kupitia Chadema na kuungwa mkono na Umoja wa Katiba ya
Wananchi(Ukawa) Edward Lowassa hafai kugombea nafasi hiyo kwa kuwa sio msafi na
mmoja waliotajwa kama fisadi.
Home
»
»Unlabelled
» Slaa apinga Lowassa kuwa Rais wa Tanzania kwa kuwa sio msafi
Post a Comment
0 comments