0


BAADA YA KUSUBILIWA KUPOKELEWA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MKENDO ILI AKAHUTUBIE MKUTANO WA KAMPENI KWENYE KATA YA IRINGO JIMBO LA MUSOMA MJINI,RUBANI WA HELKOPTA INAYOTUMIWA NA MWIGULU NCHEMBA ALIAMUA KUTUA JUU YA MLIMA ENEO LA MKUTANO KISHA KUPANDA JUKWAANI NA KUOMBA KURA ZA MGOMBEA URAIS,UBUNGE NA UDIWANI WANAOTOKANA N ACHAMA CHA MAPINDUZI.
KUTUA KWA HELKOPTA HIYO JUU YA MLIMA,KULIWAFANYA WAPENZI WA CHAMA HICHO KUONDOKA UWANJA WA MKENDO NA KWENDA KUUNGANA NAE KWENYE MKUTANO HUO WA KAMPENI.
AKIHUTUBIA KWENYE MKUTANO HUO WA KAMPENIO ULIOHUDHULIWA NA WATU WENGI,MWIGULU ALISEMA KWA SASA HAKUNA MBADALA WA CHAMA CHA MAPINDUZI NA WANANCHI WASIFANYE MAKOSA WAKATI WA KUPIGA KURA KWA KUWACHAGUA WASIOTOKANA NA CCM IFIKAPO OKTOBA 25.
ALISEMA WANANCHI WA JIMBO LA MUSOMA MJINI WASIFANYE MAKOSA TENA KWA KUACHA KUMCHAGUA VEDASTUS  MATHAYO ILI AWEZE KUUNGANA NA WANANCHI KATIKA KULETA MAENDELEO YA KWELI KWENYE JIMBO LA MUSOMA MJINI.
AKIZUNGUMZA NA WAPIGA KURA WA KATA YA IRINGO,MGOMBEA UDIWANI WA KAT A HIYO,JUMA HAMIS MAARUFU KWA JINA LA IGWEEE,ALISEMA MUDA UMEFIKA KWA WANANCHI WA IRINGO KUMCHAGUA ILI AWEZE KUSHILIKIANA NAO KUANZISHA SACCOS KWAAJILI YA KUJILETEA MAENDELEO


 MGOMBEA UDIWANI WA KATA YA IRINGO,JUMA MUSUTO(IGWE)WA KWANZA KUSHOTO AKIFATILIA MKUTANO WA KAMPENI
 MWIGULU AKIHUTUBIA KATA YA IRINGO MJINI MUSOMA

 IGWEE AKIWASILIANA NA KATIBU WA VIJANA MKOA WA MARA
 MWIGULU AKIMNADI IGWEE
 CHINI WANANCHI WAKISIKILIZA MKUTANO

Post a Comment