0MJANE WA BABA WA TAIFA,MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE,MAA MARIA NYERERE,AMEUNGANA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA BUTIAMA KATIKA MISA TAKATIFU YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 16 BAADA YA KIFO CHA MUASISI WA TAIFA LA TANZANIA AMBAPO VIONGOZI WA DINI WALIONGOZA MISA ILIYOFANYIKA KANISA KATORIKI PAROKIA YA BUTIAMA HUKU SUALA LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI LIKIZUNGUMZWA.


 PADRI BAHITWA AKIONGOZA IBADA
 WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI WAKISHIRIKI IBADA


 MAMA MARIA NYERERE AKIWA NA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI
 WAUMINI WAKITOKA KANISANI
 MAMA MARIA AKISALIMIANA NA WATU MBALIMBALI MARA BAADA YA MISA

 CHINI MAMA MARIA NYERERE AKIWA NA MTOTO WAKE MADARAKA NYERERE ENEO LA MWITONGO BUTIAMA MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA IBADA KANISANI

Post a Comment