0
 WANANCHI WA JIMBO LA MUSOMA MJINI WAMEKUBALI KUNYESHEWA NA MVUA WAKIENDELEA KUMSIKILIZA MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO HILO KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI,VEDASTUS MATHAYO, KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI ILIYOFANYIKA KATA YA KWANGWA NA MWISENGE AMBAPO KUTOKANA NA IMANI KUBWA AMBAYO WAMEMUONYESHA AMEWAAHIDI KUTOWAANGUSHA NA KUJITAHIDI KADRI YA UWEZO WAKE KUWATUMIKIA WANANCHI KWA KUWALETEA MAENDELEO BILA KUBAGUA MTU KUTOKANA NA TOFAITI YA VYAMA VYA SIASA
 WANANCHI WAKIFATILIA MKUTANO HUKU MVUA IKIENDELEA KUNYESHA


 MATHAYO AKIHUTUBIA HUKU AKIKINGWA MVUA

Post a Comment