0MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA MUSOMA MJINI KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) VEDASTUS MATHAYO,AMEENDELEA KUFANYA MIKUTANO MIKUBWA YA KUMALIZIA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU UTAKAOFANYIKA JUMAPILI YA OKTOBA 25 HUKU AKIENDELEA KUWAOMBA WANANCHI KUWEZA KUPIGIA KURA NA KUMCHAGUA KUWA MBUNGE WA JIMBO HILO NA KUAHIDI KUTOKUWAANGUSHA WANANCHI KWA KUWA KATIKA KIPINDI HIKI AMEJIPANGA VIZURI KUWEZA KUWATUMIKIA WANANCHI KWA KUWALETEA MAENDELEO.
AKIZUNGUMZA KWENYE MIKUTANO TOFAUTI YA KAPMENI KWENYE KATA ZA NYASHO,BUHARE,RWAMLIMI NA NYAKATO,MATHAYO ALISEMA WANANCHI WA JIMBO LA MUSOMA HAWANA SABABU TENA ZA KUFANYA MAKOSA YA KUCHAGUA MBUNGE AMBAYE HAWEZI KUWALETEA MAENDELEO WANAYOYAHITAJI.

ALISEMA KABLA YA KUPIGA KURA WANANCHI WANAPASWA KUTAFAKARI MIAKA MITANO ILIYOPITA NINI KIMEFANYIKA KATIKA JIMBO LA MUSOMA MJINI NAKUCHUKUA HATUA YA KUCHAGUA MBUNGE AMBAYE AMEONYESHA MIPANGO YA KUWEZA KUWASAIDIA WANANCHI KWENYE MAENEO MBALIMBALI. MATHAYO AKIINGIA KUHUTUBIA KATA YA BUHARE

MATHAYO AKIMNADI MGOMBEA UDIWANI KATA YA NYASHO
MGOMBEA UDIWANI KATA YA IRINGO AKIOMBA KURA AKIWA NA MATHAYO

 WANACHAMA WAKIFATILIA MKUTANO
 WANANCHI WAKIFATILIA MKUTANO WA KATA YA RWAMLIMI


 WANANCHI WAKIFATILIA MKUTANO KATA YA NYAKATO

Post a Comment