0
WAZIRI MKUU MSTAFU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,LEO ATAMSINDIKIZA MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA MUSOMA MJINI KUFUNGA KAMPENI ZA CHAMA CHA MAPINDUZI ZITAKAZOFANYIKA KWENYE UWANJA WA SHULE YA MSINGI MKENDO HUKU KATIBU WA CHAMA HICHO WILAYA YA MUSOMA,AKIWAOMBA WANA CCM KUJITOKEZA KWA WINGI ILI KUWEZA KUHITIMISHA KAMPENI KWA KISHINDO TAYARI KUINGIA KWENYE UCHAGUZI UTAKAOFANYIKA KESHO NCHINI KOTE.
 
JANA KATIKA MUENDELEZO WA KAMPENIMGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA MUSOMA MJINI KUPITIA CC,VEDASTUS MATHAYO,ALIFANYA MIKUTANO MINNE KWENYE KATA ZA KAMNYONGE,MAKOKO,MSHIKAMANO NA BWERI NA KWAOMBA WANANCHI KUMUAMINI NA KUMCHAGUA KWA KLUWA AMEJIPANGA VIZURI KUWZA KUWATUMIKIA WANANCHI KWA KUWALETEA MAENDELEO WANAYOYAHITAJI.Post a Comment