0
MWISHONI MWA WIKI KATIKA MJI WA MUSOMA,KULIFANYIKA UFUNGUZI WA UKUMBI MPYA WA DREM GARDEN  RESORT ULIOPO BARABARA YA MKENDO KARIBU NA GEREZA LA MUSOMA,AKIZUNGUMZA KWENYE HAFLA YA UZINDUZI,MKURUGENZI WA UKUMBI HUO,ABASI CHAMBA,ALISEMA SIKU ZOTE ALIKUWA NA NDOTO YA KUFUNGUA UKUMBI AMBAO UTAWAPA WAKAZI WA MUSOMA NA WANAOTOKA NJE YA MUSOMA KUKUTANA NA KUFANYA SHUGHULI MBAMBALI ZINAZOHUSIANA NA UKUMBI IKIWEMO KUPATA CHAKULA CHA KILA AINA NA KUWKARIBISHA WATU WOTE KWAAJILI YA KUPATA HUDUMA

 WAGENI WAKIPATA CHAKULA NA VINYWAJI NDANI YA DREAM GARDEN


 KAIMU MKURUGENZI WA MANISPAA YA MUSOMA(WA KWANZA KUTOKA (KUSHOTO)AKIJIANDAA KUFUNGUA RASMI UKUMBI HUO
 BAADA YA KUFUNGUA RASMI UKUMBI
 IKAJA PICHA YA PAMOJA MKURUGENZI ABASI CHAMBA(WA PILI KUTOKA KUSHOTO)AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA WILAYA YA MUSOMA
 MAZUNGUMZO YALIENDELEA
 WADAU WAKIFATILIA UZINDUZI
 WADAU KWENYE KAUNTA YA JUU SHOW IKIENDELEA

 
 DREAM BAND KAZINI
 MKURUGENZI ABASI AKITOA NENO LA SHUKRANI

WAZEE WA POMBE KALI
 KAIMU MKURUGENZI AKITOA PONGEZI
 SHETTA AKITOA BURUDANI BAADA YA UZINDUZI IJUMAA,JUMAPILI MAMBO YALIENDELEA,HAPA MKURUGENZI YUPO NA,ALLY AKIDA MZEE WA SOLLO,Dj,ALLY KOKO,NA MKUBWA DOCTA MUSUTO CHIRANGI


Post a Comment