0
DIWANI WA KATA YA IRINGO KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM)JUMA HAMIS(IGWEEEE)AMEANZA UTEKELEZA WA ILANI NA AHADI ALIZOAHIDI KWA WANANCHI WA KATA HIYO KWA KUTOA VYEREHANI KWA KIKUNDI CHA VIJANA ZILIZOKABIDHIWA NA MKUU WA WILAYA YA MUSOMA,ZEROTHE STEPHINE,AMBAPO ALIMPONGEZA KWA KUANZA KASI INAYOENDANA NA RAIS MAGUFULI KWA KUANZA KUTEKELEZA HATA KABLA HAJAAPISHWA RASMI KUITUMIKIA NAFASI HIYO.

KWA MUJIBU WA DIWANI HUYO,VYEREHANI HIVYO VINATHAMANI YA SHILINGI MILIONI 1.8 NA KUAHIDI KUENDELEA KUSUKUMA KASI YA MAENDELEO KWA WANANCHI WA KATA YA IRINGO KADRI ATAKAVYOJAALIWA NA MWENYEZI MUNGU KUTOKANA NA AHADI ALIZOAHIDI WAKATI WA KAMPENI.

 MKUU WA WILAYA AKIINGIA ENEO LA UGAWAJI WA VYEREHANI
 HAPA AKISAINI KITABU CHA WAGENI
 NI KUBADILISHANA MAWAZO
 VIJANA WA KIKUNDI WAKISIKILIZA VIONGOZI

 DIWANI AKIZUNGUMZA MANENO YA UTANGULIZI

 DIWANI AKIMKABIDHI MKUU WA WILAYA ILI AWEZE KUWAGAWIA VIJANA

 BAADA YA KUKABIDHIWA
 MKUU WA WILAYA AKITOA NENO

 VIJANA WA KIKUNDI WAKITOA SHUKRANI

 HAPA KAZI INAANZA

Post a Comment