0
USIKU WA JANA KWENYE UKUMBI WA THE CLUB HOUSE ULIOPO KATIKATI YA MJI WA MUSOMA,MSANII JUX,ALIFANYA SHOW YA NGUVU AMBAYO ILIMUACHA KILA MKAZI WA MUSOMA AKIFURAHIA KILE AMBACHO MSANII HUYO AMEKIFANYA NA KUAHIDI KURUDI TENA KUTOA BURUDANI NDANI YA MUSOMA


 WAPENZI WA BURUDANI WAKIFATILIA SHOW

 JUX AKIENDELEA KUPAGAWISHA
WASANII WA UTANGULIZI PIA WALIKUWEPO

 NI FULL SHANGWE

 WATU WALIPIGA PIA NYIMBO ZA JUX

Post a Comment