0

 MSANII MKALI BONGO,JUMA HAMIS,A.K.A.JUX,LEO ANATARAJIA KUKONGA NYOYO ZA WAKAZI WA MUSOMA BAADA YA KUTOA AHADI YA KURUDISHA NA KUMUACHA KILA MMOJA KUTOKA NA FURAHA NDANI YA UKUMBI WA THE CLUB HOUSE(METROPOLE YA ZAMANI.

AKIZUNGUMZA NA BLOG HII MARA BAADA YA KUTUA KWENYE UWANJA WA NDEGE WA MUSOMA,JUX AMBAYE NI MARA YAKE YA KWANZA KUFANYA SHOW NDANI YA MUSOMA,AMESEMA WAPENZI WA BURUDANI WATEGEMEE MAKUBWA KWENYE SHOW YAKE YA LEO.


MMOJA WA WARATIBU WA SHOW HIYO,ABUU NYAMAKATO,AMESEMA WANAAMINI HAWAJALETA MSANII WA KUBAHATISHA NA LEO WAKAZI WA MUSOMA WATEGEMEE BURUDANI YA KUTOSHA AMBAPO KIINGILIO KIPENGWA SHILINGI ELFU 10 KWA MTU MMOJA
 JUX AKIFANYA MAHOJIANO NA MTANGAZAJI WA GOOD TIME CABLE TV YA MUSOMA,ICOM PAPIR KUHUSIANA NA SHOW YA LEO
Post a Comment