0
MKUU wa wilaya ya Musoma,Humphrey Polepole,akiapa mbele ya mkuu wa mkoa Mara,Magesa Mulongo,ili kuanza kuitumikia nafasi hiyo baada ya kuteuliwa na Rais John Pombe Magufuli aprili 18 kushika nafasi iliyoachwa wazi na Zelote Stephine aliyeteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Rukwa

 Viongozi wa kamati ya ulinzi na Usalama ya wilaya ya Musoma wakisubili tukio la kuapishwa
 Viongozi wa dini pia walikuwepo
DC' Polepole (kushoto) akiteta jambo na mkuu wa wilaya ya Bunda
 Wakuu wa taasisi za umma mkoa wa Mara pia walikuwa mashuhuda
 Kamati ya ulinzi ya mkoa pia ilikuwepo
 RC' Mulongo akiingia viwanja vya shughuli ya kiapo
 DC' Polepole akiwa na wakuu wa wilaya za mkoa wa Mara DC' Polepole akisaini kiapo
 RC' Mulongo akizungumza baada ya kiapo
 DC' Polepole akizungumza mara baada ya kiapo

 Baadae akawa ni kuwashukuru watu mbalimbali waliofika
 DC' Polepole akisalimiana na Afisa Mfawidhi wa PSPF mkoa wa Mara,Sudi Hamza
 Hapa anakwenda kusalimiana na Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya mkoa wa Mara,Latens Wella
 Anasalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha DP mkoa wa Mara,Nyakitita
 Anasalimiana na kada wa CCM,Robert Zembwela
 Baada ya shughuli za kiapo uelekeo ulikuwa kwenye shughuli ya picha za kumbukumbu
 Mkuu wa mkoa akiwa na wakuu wa Wilaya
 Picha na kamati ya ulinzi na ujasala ya mkoa
 DC' Polepole akiwa na DC' Luoga wa Tarime,picha chini akiwa na Mwandishi wa Azam Tv,Augustine Mgendi

Post a Comment