0

MGOMBEA wa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu mkoani Mara(FAM) Valence Mayenga,amerudisha fomu kwaaajili ya kuwania nafasi hiyo huku akisindikizwa na wadau wengi wa soka wakiwemo wachezaji wakongwe waliopo mjini Musoma na kuahidi kuleta mabadiliko katika maendeleo ya mchezo wa  soka iwapo atapitishwa na kuchaguliwa kushika nafasi hiyo katika uchaguzi utakaofanyika juni 18.

 Mayenga akifurahi jambo na wadau waliomsindikiza
 Kila mmoja alikuwa akihitaji kupata picha za tukio hilo
 Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi,Ostack Mrigo,akipokea fomu ya Mayenga baada ya kurudisha
 Mayenga akiwa na "Wife) pembeni kabla ya kukabidhi fomu
 Wadau wakishuka kutoka ofisi ya kamati ya uchaguzi
 Nje ya ofisi  baada ya kurudisha fomu
 Martin Mumbala,mchezaji mkongwe akiwa ameinama kupata picha nzuri
 Mayenga akielezea mipango yake mbele ya vyombo vya Habari

 Wadau na furaha zao
 Baadae kama kawaida nje ya uwanja wa Karume baada ya kutoka kurudisha fomu
 Mama wa Mwenyekiti kushoto akitoa taarifa za kurudisha fomu
Mgombea akiwa na familia
Dommy Othuman Juma,mmoja wa wanakamati wa Mayenga akizungumza jambo

Post a Comment