0

 Valence Mayenga,(kulia) anayepongezwa na mchezaji mkongwe Ahmed,ambaye kitaaluma ni Mwanesheria,amejitokeza kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Chama cha Soka mkoani Mara(FAM) na sasa atavaana na Michael Wambura,ambaye tayari ameshachukua fomu kuwania nafasi hiyo kwenye uchaguzi utakaofanyika juni 18.

Mayenga ambaye ameonekana kuungwa mkono na wachezaji wakongwe wakati wa kuchukua fomu ameahidi kuleta mabadiliko kwenye soka la mkoa wa Mara kwa kuja na mipango ya uongozi wa kuwashirikisha wadau

 Mayenga akitinga kuchukua fomu
 Mtoto akimsindikiza baba kuchukua fomu
 Magari ya wadau wakimsubili Mayenga
 Mtoto alikuwa sambamba muda wote
 Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi akimpa maelezo mgombea
 Hongera
 Wadau wakimpongeza
 Hongera
 Kila mmoja anafuraha
 Wakongwe wakimpongeza Mayenga

 Pongezi zinaendelea
 Ni shangwe tu
 Mayenga akizungumza na Azam Tv
 Mdau Sudi akizungumza na Azam baada ya Mayenga kuchukua fomu
 Mzee Mainya pia alikuwepo
 Mchumila akimpongeza Mayenga kwa kuchukua fomu
 Pongezi zinaendelea


 Baadae wadau walikutana nje ya uwanja wa Karume kuweka mipango

 Baadae ilikuwa vinywaji

Post a Comment