0

MKUU wa mkoa wa Mara,Magesa Mulongo,leo amekutana na viongozi kutoka vyama vya siasa mbalimbali ikiwa ni muendelezo wa kukutana na viongozi wa makundi mbalimbali kwaajili ya kukutana na kuweza kuzungumzia masuala kadhaa yakiwemo ya kusukuma kasi ya maendeleo ya mkoa.

 RC' Mulongo akisisitiza jambo kwa viongozi wa vyama vya siasa
 Wanasiasa wakifatilia
 Mulongo akifatilia kwa makini
 Kamanda wa polisi mkoa wa Mara,Ramadhani Ng'anzi,akizungumza kwenye kikao cha viongozi wa vyama vya siasa na mkuu wa mkoa

 Katibu wa chama cha (ACT) mkoa wa Mara,David Katikilo,akizungumza na Azam Tv mara baadaa kumalizika kwa kikao

Post a Comment