Navy Kenzo baada ya show ndani ya The Club House(Metropole)ikawa ni mambo ya Selffe na mashabiki waliofulika kwa wingi katika mkupata burudani ambayo kila mmoja aliifurahia |
Mkali wa Hip Hap,Disty alitisha mbaya kutoka Masstown
Navy Kenzo wakiingia ukumbini
Kazi ikaanza
Burudani mwanzo mwishi mwendo wa kukamatia chini
Ni kupagawisha tu
Ni kukamatia chini
Sheedar!
Hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Haikuwa mchezo jamaa
Sio mbaya maana ilikuwa show ya kamatia chini!
Ni kama anamwambia shemeji umewaona wifi zako na mashemeji
Ilikuwa full shangwe |
Shemeji nae hakuwa mbali kutoa huduma
Post a Comment
0 comments