Mkuu wa Usalama wa taifa mkoa wa Mara kupitia warumishi wa ofisi hiyo nao walikabidhi madawati 10 yenye thamani ya shilingi laki 8
Baadae Mulongo alikwenda wilayani Tarime kupata taarifa ya madawati
Maagizo kwa mkuu wa wilaya ya Tarime Glorius Luoga,ambaye anakwenda vizuri katika ukamilishaji wa madawati
Mbao zilizopo Tarime kwaajili ya madawati
Madawati yaliyotengenezwa Manispaa ya Musoma ambapo pia Mulongo alitembelea
Manispaa
Mafundi wakiendelea na kazi Serengeti
Mkuu wa Wilaya ya Serengeti,Maftaha Mohamed akitoa taarifa ya madawati
Mulongo akimsikiliza Mwenyekiti wa halimashauri ya Serengeti
Mzigo wa Bunda
Gari ikijiandaa kuelekea mashuleni kugawa mjini Bunda
Mkuu wa wilaya ya Bunda,Joshua Mirumbe, akielezea hali ya madawati kwa mkuu wa mkoa |
Post a Comment
0 comments