0MBUNGE wa Jimbo la Musoma mjini,Vedastus Mathayo,leo mapema asubuhi ameungana na wakazi wa Musoma kupitia club ya mazoezi ya Biashara United kufanya mazoezi ikiwa na lengo la kuhamasisha wananchi kufanya mazoezi kutokana na umuhimu wa mazoezi katika kujenga mwili na kuboresha afya na kuwaomba wananchi kutenga muda wa kufanya mazoezi ili kuepuka magonjwa ambayo yanatokana na kutokuzingatia kufanya mazoezi
 Mazoezi yakiendelea katika mitaa ya mji wa Musoma
 Baadae kwenye uwanja wa posta ikawa ni mazoezi ya viungo chini ya kocha amani
 Mathayo akizungumzia umuhimu wa mazoezi baada ya kumaliza kufanya mazoezi
 Hapa ilikuwa ni mazoezi ya viungo
 kila mmoja alikuwa akizingatia mazoezi
 Mbunge Mathayo akiongoza mazoezi

 Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoa wa Mara,Latens Wella,moja ya wanachama wa Biashara United akizungumza umuhimu wa kufanya mazoezi kwa afya baada ya kumalizika kufanya mazoezi
 Kuzungumza ni muhimu baada ya mazoezi

 Jamaa kiuno veep
 Baadae picha ya pamoja wafanya Jogging ilihusika pamoja na Mbunge mwenye T.shert ya bendera ya Taifa hapo mbele
 Wadau wa kufanya mazoezi

Post a Comment