0

Mkuu wa wilaya ya Tarime, GLORIOUS LUOGA, ameendesha zoezi la ubomoaji nyumba zaidi ya 300  zilizokuwa  zikikaliwa na wakazi wa kijiji cha Nyabichune kilichopo nyamongo wilayani tarime mkoani mara baada ya mgodi Acacia North Mara kukubali kuwalipa wananchi wa kijiji hicho kiasi cha shilingi billioni nne na milioni mia saba ikiwa ni fidia ya kuwaondoa wananchi hao wanaozunguka eneo hilo la mgodi.
Hapa mkuu wa Wilaya alianza na kikao cha ndani na viongozi wa serikali ya Kijiji kabla ya kuvunja

 Mkuu wa Wilaya akielekea eneo lenye nyumba hizo
 Sehemu ya nyumba zilizovunjwa
 Nyingine zilikuwa karibu kabisa na eneo la machimbo
 Maagizo ya uvunjanji yanatolewa
 Mkuu wa Wilaya akitoa msisitizo
Meneja uendelezaji idara ya ardhi wa mgodi wa Acacia North Mara,Abel Yiga,akimuonyesha orodha ya majina ya wananchi walioandaliwa malipo na kuiomba serikali  kusaidia kuona wananchi hao hawatumii fedha hizo kwenda kujenga nyumba nyingine maeneo ya mgodi maarufu kwa jina la "tegesha"ili kuepuka migogoro.
 Majina yakisomwa
 Wananchi wakisikiliza majina ya walipwaji
 Nyumba hii ilibomolewa
 Kazi ya ubomoaji ikaanza
 Bomoa bomoa
 Ni kama anasema,,,,,,,,asante kazi inaenda vizuri
 Kila nyumba ilivunjwa
 Kazi inaendelea


 Maelekezo zaidi ya ubomoaji
 "Twende tukabomoe"
 Kazi inaendelea





Post a Comment