0

MKUU wa mkoa wa Mara,Dk.Charles Mlingwa,ameisifu timu ya Biashara United ya mjini Musoma kwa kushiriki ipasavyo zoezi la usafi mara baada ya kumaliza kufanya mazoezi yao ya kila jumamosi(jogging) na kutoa wito kwa wananchi wengine wa mkoa wa Mara na klabu za mazoezi kushiriki kwenye suala la usafi kila jumamosi ya mwisho wa mwezi katika kutekeleza agizo la Rais John Pombe Magufuli

 Mazoezi ya timu ya Biashara United kila jumamosi yanaanzia uwanja wa posta na kumalizikikia uwanja wa posta
 Baadae ni kuzunguka mitaa mbalimbali ya mji wa Musoma
 
 Mazoezi yanaendelea
 Mitaa ya kusaga jamaa wanaendelea na mazoezi
 Meneja wa Bima ya Afya mkoa wa Mara,Latens Wella,akisisitiza umuhimu wa kufanya mazoezi na kuwahimiza wananchi kushiriki mazoezi na kujiunga na bima ya afya kwa matibabu ya uhakika.Hapa ni zoezi la usafi kwenye hospitali ya Nyasho baada kutoka kufanya kwenye stend ya zamani mjini Musoma

 Ikawa ni kukabidhi misaada kwa viongozi wa hospitali ya Nyasho Misaada ilikuwa ya kutosha ambayo imetokana na michango ya wanachma wa timu ya Biashara Kocha Amani akizungumza na madaktari wa hospitali ya Nyasho

 Hapa ni uhamasishaji kwa wananchi wafanye usafi

 Mkuu wa Mkoa wa Mara akisisitiza suala la usafi
 Diwani wa Kata ya Iringo Juma Hamis(Igwe) na George Marato pia walikuwepo
 Marato hoi kashika kiuno
 Usafi ulikuwa kila wodi

Post a Comment