0


 MKUU wa Wilaya ya Tarime,Glorius Luoga,ameendeleza oparesheni aliyoiita ya kudumu katika mapambano ya kukomesha kilimo cha zao la bangi ambalo limeoneka kushamili katika maeneo ya milimani na kudai lazima wananchi wabadilike na kuachana na zao hilo ili kulima mazao mbadala ambayo yanastawi katika wilaya hiyo
 Mkuu wa wilaya mbele na Mkurugenzi wa Wilaya ya Tarime,Apoo Castro,walipokuwa wakiongoza oparesheni ya kutokomeza zao la bangi katika wilaya hiyo ambayo ni oparesheni endelevu
 Ni mwendo wa kufyaka bangi tu
 Oparesheni inaendelea
 Zao la bangi shambani


Nyumba za wakulima wa bangi milimani zikichomwaKazi inaendelea


Post a Comment