0
 TIMU 49 za mpira wa miguu katika Jimbo la Bunda mjini zimekabidhiwa msaada wa vifaa vya michezo amb zo zimetolewa na Mbunge wa Jimbo hilo,Ester Bulaya,ikiwa na lengo la kuinua vipaji kwa vijana kupitia sekta ya michezo.

Akizungumza baada ya kukabidhi vifaa hivyo vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 12 zikiwemo jezi seti 60 za mpira wa miguu na mipira seti 50,alisema ameamua kufanya hivyo kwa timu zote za mitaa na vijiji ili kuwezesha wachezaji wake kushiriki kikamilifu katika michezo.


 Sehemu ya jeze zilizotolewa na Bulaya
 Sehemu ya mipira 50 iliyotolewa kwa ajili ya timu za vijana Bunda

 Bulaya akizungumza na timu za vijana

 Mashuhuda wakifatilia tukio la utoaji wa vifaa hivyo
 Bulaya akionyesha mipira aliyoitoa
 Timu zikikabidhiwa vifaa
 Jezi zikikabidhiwaPost a Comment