0


 MKUU wa Wilaya ya Rorya,Simon Chacha,(kulia)akimkabidhi mwenge wa uhuru mkuu wa Wilaya ya Tarime tayari kwa kukimbizwa wilayani humo ambapo miradi ya maendeleo yenye thamani ya shilingi milioni 600 imezinduliwa sanjari na kufungua klabu za wapinga Rushwa kwenye shule za sekondari Manga na Rebu na kuteketezwa kwa magunia 10 ya bangi ambapo kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa,George Jackson Mbijima,amesifu serikali wilayani Tarime kupitia mkuu wa wilaya kwa juhudi zake za kupambana na dawa za kulevya hususani kilimo cha bangi.

 Mwenge ukikimbizwa wilayani Tarime
 Bangi tayari kwaajili ya kuteketezwa na kiongozi wa mbio za mwenge
 Bangi ikiteketezwa

 Kiongozi wa mbio za mwenge,George Jackson Mbijima,akizungumza na wananchi baada ya kuzindua barabara wilayani Tarime
 Michezo pia ilihusika

 Miradi ikizinduliwa

Post a Comment