0

ZAIDI ya wajumbe 500 kutoka nchi nzima pamoja na wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi,kesho wanatarajiwa kuhudhuria uzinduzi wa mkutano mkuu wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania(ALAT) utakaofanyika kwa siku 3 katika ukumbi wa mikutano wa Kanisa Katoriki mjini Musoma ambapo hadi sasa asilimia kubwa ya wajumbe wa mkutano huo uliodhaminiwa na benki ya NMB wameshafika mjini Musoma kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa ALAT taifa,Stephene Mhapa
Sehemu ya ukumbi ikiendelea kupangwa katika kuonekana mkao wa mkutano
Wadada watakaohudumia wajumbe kwenye mkutano huo
Katibu wa ALAT akifanya utambulisho kwenye mkutano na Waandishi wa Habari ambapo vyombo vya habari vilielezwa kukamilika kwa asilimia kubwa ya maandalizi ya mkutano huo




Makamu Mwenyekiti wa ALAT,Stephene Mhapa (kushoto) akizungumza na Waandishi,kushoto ni katibu wake Habraham Shamumoyo
Wadhamini kutoka NMB





Wadada wakiendelea kufanya maandalizi ya vitambulisho


Post a Comment