0
 VIONGOZI mbalimbali wa serikali wakiwemo mawaziri,wakuu wa mikoa,wabunge,vyama vya siasa pamoja na maelfu ya wananchi kutoka maeneo ya mkoa wa Mara na nje ya mkoa,wamejitokeza katika mazishi ya mama wa Mbunge wa jimbo la Musoma mjini,Vedastus Mathayo,yaliyofanyika Kata ya Mugango,Musoma vijijini huku kiongozi wa ibada ya mazishi akisisitiza kuiga mfano wa marehemu mama  Laurencia Mathayo juu ya upendo aliokuwa nao kwa familia yake.
 Sehemu ya familia wakishiriki ibada ya mazishi
 Mbunge wa Jimbo la Musoma mjini,Vedastus Mathayo,akitoa shukrani kwa waliohudhuria msiba wa mama yake
 Mkuu wa mkoa wa Simiyu,Julius Mtaka(kulia)akiwa msibani na kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Rorya,Samwer Kiboye.
 Mtaka aikishiriki ibada
 Mama Kabaka pia alihudhuria


 Sehemu ya familia ya Mathayo
Mwigulu akiteta jambo na mkuu wa wilaya ya Tarime,Glorius Luoga(kushoto) wakiwa msibani

 Sehemu ya wabunge waliohudhuria
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM,Alhaji Abdara Bulembo(kulia)akizungumza jambo na Mbunge wa Jimbo la Tarime vijijini,John Heche(Chadema)
 Sehemu ya waombolezaji ndugu jamaa na marafiki


 Huzuni

 Somo la ibada likitolewa
 Kapumzike kwa amani


Post a Comment