0
 TIMU ya soka ya Biashara United ya mjini Musoma wametwaa ubingwa wa Strengo Bonanza 2016 lililoshirikisha jumla ya timu 4 zikiwemo Polisi veteran,Musoma veteran na Benk kombaini baada ya kuifunga timu ya Musoma veteran mabao 2-1 kwenye mchezo wa fainali uliofanyika kwenye uwanja kumbukumbu ya karume.
Meya wa Manispaa ya Musoma,Patrick Gumbo(kulia)akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi(katikati) ni Mkurugenzi wa Le Grand Hotel ya mjini Musoma,Rama Msomi
Purukushani za mchezo wa fainali

Shabiki wa timu ya Biashara United(Bandeko) akifurahia mbuzi
Meneja wa benk ya Finca tawi la Musoma akipokea cheti cha pongezi kwa kudhamini bonanza
Musoma veterani wakipoza makoo wakati wa mapumziko
Biashara United nao wakipoza makoo
Fainali inafatiliwa
Meya Gumbo akibadilishana mawazo na Rama Msomi

Kikosi cha Biashara United
Musoma veterani
Matukio yakiendelea kwekwa kwenye blog na Shommy B
Patrick Mwankale mzee wa Strengo pia alikuwepo uwanjani
Wazee wa Polisi veterani
Martin Mumbara akihamasisha mambo ya Finca
Jombaa Victor naye hakuwa nyuma
Wazee wa benk kombaini nao walishiriki
Mdau Marwa Mathayo pia alikuwepo ndani ya bonanza
Kapten,Fumbuka akitambulisha wachezaji wa benk kombaini
Wazee wa Musoma veteran wakitoa hamasa

Wazee wa Polisi
Meneja wa benk ya CRDB tawi la Musoma,Masawe(kushoto) akiwa na meneja wa Finca

Post a Comment