Wadau mbalimbali wa maendeleo mkoani Mara kupitia umoja wa (Mara Kwana) kupitia Mwenyekiti wake wa muda,Christopher Sanya,wamekutana kwenye kikao chake cha kwanza leo mjini Musoma katika kupanga masuala kadhaa ya kuwasemea wananchi kwenye serikali na kusukuma mbele maendeleo ikiwemo masuala ya elimu,afya,miundombinu,uchumi na mambo ya kijamii
Makamu Mwenyekiti wa umoja wa Mara Kwanza,Magori Zembwela,akichangia kwenye kikao cha kwanza cha umoja huo
Mmoja wa wajumbe,Marwa Mathayo akichangia kwenye kikao hicho
Amani Josia nae akichangia
Wajumbe wakiendelea kuchangia
George Marato akichangia kikao hicho
Robert zembwela akitoa maelezo kwenye kikao hicho
Kaka Stanley Magesa akitoa maelezo na kuchangia kikao hicho
Mwenyekiti Sanya akiendelea kutoa misingi ya umoja wa Mara Kwanza
Marwa Mathayo akichangia
Mkuu wa nidhamu,David Katikiro,pia alichangia
Post a Comment
0 comments